Saturday, December 20, 2008

HA! HA! HAAAA!, HII NDIO ATLANTA BWANA.

Hivi ndivyo linavyoonekana jiji la Atlanta - GA nyakati za usiku na hasa kipindi hiki cha sikukuu. Picha hii imepigwa jana usiku na mwakilishi wa Atlanta.

kisingino-Atlanta.

6 comments:

  1. Kweli nyie mko ulimwengu wa kwanza.

    ReplyDelete
  2. duuuu! mwnangu ma mtoni kweli noma, sijui lini dar, dom, arusha au mwanza utakuwa kama hivi.

    ReplyDelete
  3. kama bongo mwananguuuu.

    ReplyDelete
  4. kaka ndejembi hii imetulia, niwekee na ya chicago kule anakoishi obama.

    ReplyDelete
  5. michael natakuona umeme ukikatika mtoni kunakuwaje, huku bongo nyi si mnkujua sasa tujulisheni mambo ya huko

    baba tunda.

    ReplyDelete
  6. hiii heshima tupu mwanangu michael, nakuombea heri uzidi kutupa mambo.

    ReplyDelete