Horse drawn carriage ride

The Washington Monument (aka the Giant Pencil)

Night time view of the Lincoln Memorial from the Washington Monument

Night time view of the White House and the National Christmas tree from the Washington Monument

Night time view of the Capital from the Washington Monument

In case you were wondering this is not the White House

The National Christmas tree

The National Christmas tree and the Washington Monument (aka the Giant Pencil)

District of Columbia tree

The White House

The nativity by the National Christmas tree

Hivi ndivyo linavyoonekana jiji la D.C-nyakati za usiku na hasa kipindi hiki cha sikukuu. Picha hizi zimepigwa jana na mwakilishi wetu wa D.C.
JAMES-WASHINGTON, D.C
Hizi picha ni nzuri mno. CCM mmenifungua macho maana huyu mwakilishi wenu amenikuna kweli kweli. James nikikupatia anwani pepe yangu unaweza nitumia picha kama hizi?
ReplyDeleteKumbe wenzetu hata mambo ya mungu hawapo nyuma. Inabidi hata sisi watanzania tukaze buti katika kumkumbuka mungu ndio maana mataifa mengine mambo yao yako supa.
ReplyDeleteUnajua ukifatilia mambo ya mungu uwezi tena kula rushwa wakati unajua kabisa unamuangamiza binadamu kama wewe. Napendekeza mafisadi watembelee blog hii
Mambo ya christmas hayo kwenye nchi za watu, inapendeza sana ukiwa mambo yako yametulia
ReplyDelete