Wednesday, April 1, 2009

Waziri wa mkuu wa Australia akizungumza na makamu wa rais wa mazingira Dk. Batilda Burian
kwenye Hotel ya Kempinsk jijini Dar es salaam leo asubuhi, Dk. Batilda alifika kumuaga waziri mkuu huyo akiambatana na mwanae bi. Shymaa.

msomaji
Tanzania.

2 comments:

  1. heri yao wanaokutana na hawa viongozi, maana wanawapeleka mpaka watoto wao, hii si kazi jamaani?

    ReplyDelete
  2. we bwana huyu mgeni haajaja kuwekeza kweli.

    ReplyDelete