Ni kweli haya majengo yanafanana na majengo flani ya yapo hapa Napoli, ngoja nitakutumia picha soon. pia hongera ccm-usa mtandao wenu nimeupenda sana!Goodluck-Itali
haya majengo mbona yapo kila sehemu tu kwani ni yakutafutaa?
Mafisadi kumbe ni wabunifu, walijenga majengo haya malefu hili kuwazuga watanzania wasigundue kama pesa zao zinaibiwa.
Yana fanana sana na majengo ya fisadi aliyejitoa kizimbani hivi karibuni
Yule fisadi aliyewekeza huku Japan naye majengo yake yako hivi hivi labda michoro yake ilicholwa na mtu mmoja.JaneTokyo
Ni kweli haya majengo yanafanana na majengo flani ya yapo hapa Napoli, ngoja nitakutumia picha soon. pia hongera ccm-usa mtandao wenu nimeupenda sana!
ReplyDeleteGoodluck-Itali
haya majengo mbona yapo kila sehemu tu kwani ni yakutafutaa?
ReplyDeleteMafisadi kumbe ni wabunifu, walijenga majengo haya malefu hili kuwazuga watanzania wasigundue kama pesa zao zinaibiwa.
ReplyDeleteYana fanana sana na majengo ya fisadi aliyejitoa kizimbani hivi karibuni
ReplyDeleteYule fisadi aliyewekeza huku Japan naye majengo yake yako hivi hivi labda michoro yake ilicholwa na mtu mmoja.
ReplyDeleteJane
Tokyo